Jinsi Ndoto Yangu ya Biashara Ilivyogeuka Kuwa Jinamizi na Jinsi Nilivyopata Tumaini Jipya

Jina langu ni Charles, kijana mpambanaji na mkazi wa jijini Dar es Salaam. Kwa muda mrefu, nimekuwa nikifanya kazi kama fundi makenika (professional mechanic), kazi ambayo nimeiheshimu na kuipenda sana. Hata hivyo, siku zote nilikuwa na ndoto kubwa zaidi: kufungua duka langu la kuuza vipuri vya magari (spare parts).Kwa mwaka mzima uliopita, nilijinyima sana. Nilifanya kazi kwa bidii, nikala kwa uchache, na kuweka akiba kila senti niliyopata. Lengo langu lilikuwa moja tu kukusanya mtaji wa kutosha ili niweze kuagiza mzigo wa maana kutoka nje ya nchi.

Baada ya utafiti wa kina, nilifanikiwa kumpata msambazaji (dealer) mwaminifu kutoka nchini China. Mawasiliano yetu yalikuwa mazuri sana. Tulikubaliana bei, na hata alinitumia picha na video za bidhaa zote nilizohitaji. Nilipoona vile vipuri kwenye video, moyo wangu ulijaa furaha isiyo na kifani. Nilijiona kama nimeshavuka mstari wa umaskini; ndoto yangu ilikuwa inatimia.Kilichobaki ilikuwa hatua moja tu: kutuma pesa ili mzigo uanze safari ya kuja Tanzania.

Siku ya tukio, nilibeba pesa zangu zote akiba ya mwaka mzima na kuelekea benki ili kufanya muamala (deposit) kwa yule msambazaji. Nilikuwa na morali ya juu sana.Lakini nilipofika eneo la benki, kitu cha ajabu kilitokea. Ghafla, nilipoteza fahamu. Sikuweza kuelewa nini kilitokea, ni kama nilipigwa….Kuendelea kusoma,BONYEZA HAPA 

More From Author

Brilliant Kenyan student shocks many after returning Kes 30 Million he had won from Sportpesa, says he want to finish school first and look for a well paying job instead of relying on free money. Any advice for him?

Man arrested for questioning wealth owned by political class in Kenya

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *