Siku zote nimekumbuka Morogoro, nyumbani kwetu, kama mahali pa matumaini. Lakini kwa miaka mitano iliyopita, imekuwa kama kivuli cha giza. Sikutegemea kwamba kupata shahada ya kwanza yenye alama za juu (GPA nzuri) kungenifanya kuwa “Kassim Mhitimu Asiye na Kazi” lakini ndivyo ilivyotokea.
Kumbukumbu za mwaka niliohitimu zimejaa harufu ya wino mpya na ahadi. Hata hivyo, haraka zilibadilika na kuwa harufu ya kufeli.
• Barua Pepe Zisizo na Hesabu: Nilituma barua pepe za maombi ya kazi kiasi kwamba sasa hata jina “attachment” linanitia kichefuchefu.
• “Tulikupokea, tutakupigia”: Hizi ndizo maneno ambayo yalinifanya….To continue reading,CLICK HERE
