Katika mitaa ya Dodoma, Aliya alijulikana kama binti mrembo, msomi, na mwenye mustakabali wa dhahabu. Lakini nyuma ya tabasamu lake la kuvutia na mavazi ya heshima, kulikuwa na siri nzito iliyokuwa inamtafuna kila kukicha. Aliya hakuwa na maisha ya furaha; alikulia katika familia iliyotawaliwa na vurugu na vipigo, hali iliyomfanya aone maumivu kama sehemu ya kawaida ya maisha.
Maisha yalibadilika kuwa jehanamu baada ya kifo cha ghafla cha baba yake kwenye ajali mbaya ya barabarani. Badala ya kufarijiwa, ndugu wa baba yake waliwashutumu Aliya na mama yake kuhusika na kifo hicho. Katika kipindi hicho cha maombolezo, tukio la kikatili lilitokea: mjomba wake alimvamia, akampiga kinyama, na kisha kumfanyia ukatili wa kijinsia uliomuacha na kovu la kudumu moyoni.
Tukio hilo lilimfanya Aliya kuwa mfu anayetembea. Alianza kupata ndoto mbaya…..Kuendelea kusoma,BONYEZA HAPA
