Jina langu ni Ali Ahmed, mwanaume wa makamo ninayeishi katika kijiji kidogo mkoani Mbeya, Tanzania. Hii ni hadithi ya maisha yangu, mapambano yangu, na jinsi nilivyopata msaada wakati nilipokuwa nimekata tamaa kabisa.Kwa miaka mingi, nilikuwa na ndoto ya kumiliki biashara yangu mwenyewe. Nilianzisha duka la vifaa vya ujenzi (Hardware), biashara ambayo nilijivunia sana. Niliwekeza kila senti niliyokuwa nimejiwekea akiba kwa muda mrefu, nikitumaini kuwa ningepata faida na kuboresha maisha yangu na ya familia yangu.
Miezi michache ya kwanza, mambo yalikuwa yakenda vizuri sana. Duka lilichangamka na wateja walikuwa wakimiminika kununua vifaa. Niliona kama nyota yangu imeng’aa. Lakini ghafla, bila onyo lolote, mambo yalianza kubadilika. Ilikuwa kama upepo mbaya umepita.Wateja walianza kupotea ghafla. Duka lililokuwa na pilikapilika likabaki tupu. Kana kwamba haitoshi, mamlaka za eneo zilianza kunisumbua na kuniletea shida ambazo sikuzielewa. Sikujua shida ilitoka wapi; ilihisi kama mkosi….Kuendelea kusoma,BONYEZA HAPA
